Friday, March 31, 2017

Typist at Stationery

Application Deadline: 04-04-2017

Description
 
Natafuta mfanyakazi wa stationery. Awe ni msichana anayeishi mazingira ambayo sio mbali sana na mazingira ya Chuo kikuu cha mtakatifu Agustino Mwanza.(kama anaishi mbali sana na mazingira haya awe tayari kupanga chumba katika mazingira haya). awe na ujuzi wa computer (typing) na pia awe na ujuzi wa lugha zote mbili yaani kiswahili na kiingereza.
karibuni sana

Application Instructions
Tuma maombi yako kwa kubonyeza Apply now hapo chini au tuma kwenye whatsapp
 

No comments:

Post a Comment