Application Deadline: 31-12-2016
Description
Wafanyakazi wa nyumbani wa kike wanahitajika, wawe darasa la saba au
form 4, umri ni miaka 18 mwisho 35. Malipo ni kuanzia 60 elfu na
kendelea kulingana na ujuzi na majukumu ya kazi yaliyopo. Tupo Sinza kwa
Remmy - Kinondoni -Dar es salaam
Application Instructions
Njoo Sinza kwa Remmy-( DSM) ulizia Mr Zakayo au piga simu namba 0754-783131, 0713-321162 na 0787-373746
No comments:
Post a Comment