Application Deadline: 31 Aug 2016
Majukumu:
- Kuwasaidia wanafunzi wetu wa Newala patapakotokea dharura au tatizo lolote
- Kukusanya matokeo ya wanafunzi na barua zao kwa wafadhili wao, kuwapatia vifaa vya shule, nk.
- Kupanga tuition ya wanafunzi na madarasa ya kuwafundisha watoto wadogo kusoma
- Kuwafundisha English Course kwa waliomaliza Darasa la Saba
- Kutunza ofisi yetu na mkataba wetu
- Kufanya kazi pamoja na shule mbalimbali katika uhamisho ya wanafunzi na shughuli zingine
- Kuandika repoti ya pesa (Financial Report) kuhusu matumizi ya Jiamini
- Kazi mbalimbali zingine unazoelekezwa na Meneja
Ujuzi:
- Uwe na Diploma au Degree in Social Work, Education, Community Development, nk.
- Uwe umemaliza chuo ndani ya miaka mitatu zilizopita
- Uwe umewahi kufundisha wanafunzi wa msingi au sekondari darasani (tuition, nk)
- Uwe unajua jinsi ya kutumia kompyuta: Excel, Word, na Internet
- Uwe una uzoefu kupanga bajeti ya miradi midogo midogo
- Uwe unaweza kuongea Kiingereza kwa kiasi fulani
- Uwe umezaliwa mkoa Mtwara au ulisoma hapa (vyeti vya shule/kuzaliwa vionyeshe hivyo)
LAZIMA:
- Uwe mtu mkweli sana na mstaarabu, na uwe na moyo kufanya kazi katika NGO
- Uwe tayari kuishi Newala mjini
- Usiwe mfanyakazi wa serikali na usiwe unasubiri ajira kutoka serikalini muda wowote
- Uwe tayari kufanya kazi Jumatatu hadi Ijumaa, saa 8 asubuhi mpaka saa 12 mchana ofisini (halafu utapumzika kwa masaa matatu, kuanzia saa 12 mchana mpaka saa 9 mchana), na tena utafanya kazi saa 9 mchana mpaka saa 1 jioni ili kuendesha tuition.
- Uwe tayari kuanza kazi rasmi 1 September 2016 au mapema zaidi.
Mshahara: 500,000 – 600,000 kwa mwezi (kutegemea na elimu na uzoefu wako). Hakutakuwa na posho za ziada kama za semina na safari, maana ni mara chache kutokea/kufanyika.
(CV zinazotumwa kwa posta au katika email address nyingine hazitaangaliwa)
KWENYE BARUA NA CV, HAKIKISHA KUWA UNAELEKEZA KUHUSU:
1) SHUGHULI GANI UNAFANYA SASA HIVI
2) UZOEFU WAKO WA MTWARA NA NEWALA
3) UZOEFU WAKO WA KUFUNDISHA WANAFUNZI
Temporary Program Office (6 months) POSITION DESCRIPTION:
Afisa Mradi atasaidia kwenye kazi za kila siku za Jiamini katika mji wa Newala. Atarepoti kwa Meneja wa Mradi n mkataba wake utakuwa wa miezi sita. Jiamini ni shirika lisilo la kiserikali (NGO) linalosaidia watoto wenye mazingira magumu ili wapate elimu bora. Tunawasomesha zaidi ya wanafunzi 60 katika mji wa Newala. Kazi hii ni nafasi nzuri kupata uzoefu wa kufanya kazi kwa shirika lisilo la kiserikali la kimataifa.Majukumu:
- Kuwasaidia wanafunzi wetu wa Newala patapakotokea dharura au tatizo lolote
- Kukusanya matokeo ya wanafunzi na barua zao kwa wafadhili wao, kuwapatia vifaa vya shule, nk.
- Kupanga tuition ya wanafunzi na madarasa ya kuwafundisha watoto wadogo kusoma
- Kuwafundisha English Course kwa waliomaliza Darasa la Saba
- Kutunza ofisi yetu na mkataba wetu
- Kufanya kazi pamoja na shule mbalimbali katika uhamisho ya wanafunzi na shughuli zingine
- Kuandika repoti ya pesa (Financial Report) kuhusu matumizi ya Jiamini
- Kazi mbalimbali zingine unazoelekezwa na Meneja
Ujuzi:
- Uwe na Diploma au Degree in Social Work, Education, Community Development, nk.
- Uwe umemaliza chuo ndani ya miaka mitatu zilizopita
- Uwe umewahi kufundisha wanafunzi wa msingi au sekondari darasani (tuition, nk)
- Uwe unajua jinsi ya kutumia kompyuta: Excel, Word, na Internet
- Uwe una uzoefu kupanga bajeti ya miradi midogo midogo
- Uwe unaweza kuongea Kiingereza kwa kiasi fulani
- Uwe umezaliwa mkoa Mtwara au ulisoma hapa (vyeti vya shule/kuzaliwa vionyeshe hivyo)
LAZIMA:
- Uwe mtu mkweli sana na mstaarabu, na uwe na moyo kufanya kazi katika NGO
- Uwe tayari kuishi Newala mjini
- Usiwe mfanyakazi wa serikali na usiwe unasubiri ajira kutoka serikalini muda wowote
- Uwe tayari kufanya kazi Jumatatu hadi Ijumaa, saa 8 asubuhi mpaka saa 12 mchana ofisini (halafu utapumzika kwa masaa matatu, kuanzia saa 12 mchana mpaka saa 9 mchana), na tena utafanya kazi saa 9 mchana mpaka saa 1 jioni ili kuendesha tuition.
- Uwe tayari kuanza kazi rasmi 1 September 2016 au mapema zaidi.
Mshahara: 500,000 – 600,000 kwa mwezi (kutegemea na elimu na uzoefu wako). Hakutakuwa na posho za ziada kama za semina na safari, maana ni mara chache kutokea/kufanyika.
APPLICATION INSTRUCTIONS:
TUMA CV YAKO PAMOJA NA BARUA YA KUJITAMBULISHA KWA : jiaminikazi@gmail.com(CV zinazotumwa kwa posta au katika email address nyingine hazitaangaliwa)
KWENYE BARUA NA CV, HAKIKISHA KUWA UNAELEKEZA KUHUSU:
1) SHUGHULI GANI UNAFANYA SASA HIVI
2) UZOEFU WAKO WA MTWARA NA NEWALA
3) UZOEFU WAKO WA KUFUNDISHA WANAFUNZI
No comments:
Post a Comment